Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia mapenzi yangu.