Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako na kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata na msichana kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe.
Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa
0 Comments