Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia raha.

Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe.