Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchaguakuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakinikuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umenitekamoyo na akili yangu pia.