Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu laazizi wangu.