Mpenzi wangu tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo muhimu matatu. 

Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, la pili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwa kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana pamoja.