Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengi watakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapo ambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako ,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakini hawajapata wa kuwaowa.

0 Comments